Ajibu ni mchezaji asiye na Bahati

Gadiel eti kamzid mipango Ajibu
 
ajibu ana kibri cha akili ndogo, jamaa mpira anaujua ila ujinga nao haujamwacha salama.
 
Unajidanya ,labda hujui ngasa,erasto,boko ,okwi nk,wamevumilia sana.
 
Ajibu ndyo Nani?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mpira ni zaidi ya kipaji....Ajibu Hana nidhamu. ..ni Sawa na Mkude tu..Samatta na Ulimwengu walianza kuendesha Range rover wakiwa TP Mazembe. ..sio lazima kwenda Ulaya
 
Umenikumbusha 2007/2008 nilikua natafuta mechi za porto kumuona fundi Ricardo Quaresma tu. Yeye na Rui Costa watabaki kuwa wareno nilikua navutiwa nao zaidi kuwaona dimbani

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Acha ujinga wewe Ajib anatafuta maisha...mpira ni kazi...unataka akae yanga kufanya nini mshahara hajalipwi? We una akili kweli?unadhan ameenda yanga akauze mahindi? Mpira pesa mwache aende ambako atakula ,kunya na kuvaa bila waswas. Wewe shabiki endelea kushabikia.

Ajib anaipenda simba na ndo maana hat siku ile anasajiliwa yanga hakuwa na furaha...aliondoka kwa zengwe tu la kipindi kile sababu hawakutaka kumwongezea mshahara wale wahuni waliokuwepo that time.

Sasa anaona home kumenoga uhakika wa kwenda choo upo na kufanya maisha au kuonekana mechi za kimataifa upo.why abakk yanga?unadhani na yeye hana akili kama wewe?

Ni bora akae benchi akipwe pesa zake kuliko kucheza yanga halafu halipwi na anaishia kula mahindi na ice cream tu baada ya mechi.njaa isikie kwa wenzio.mwachen akatengeneze pesa msimdanganye kijana wa watu.hapendwi mtu...pesa tu.

Ajibu simba anaenda kukaa benchi hadi asahaulike

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kila mchezaji anataka pesa ili kuendesha maisha yake Ila tunachomlaumu Ajibu ni kuwa yeye ni mchezaji mzuri na mwenye kipaji Ila hajitambui kma angejitambua Sshv angekuwa anacheza ulaya kwa kipaji chake, tatizo kipaji chake kinampa jeuri hafanyi vile anavyotakiwa afanye, mfano samata alijijua kuwa yy Ana kipaji akaongeza juhudi Leo tunaona anachofanya, Ajifunze kwa wenzake Akina Farid Musa, chilunda, tiba John aliyekuwa singida, shemeji yake ally kiba, na wengineo.
Kipaji bila nidhamu ni Sawa na sufuri

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sasa ndugu chama ana mpira gani ni star wa mechi ndogo. Kuhusu magoli anayofunga hata bibi take zahera hakosi
Kwa akili yako mechi ya lipuli na ndanda no kubwa kuliko mechi ya nkana na as Vita chama anachezea timu ya taifa huyo ajibu wenu hata timu ya taifa hafikiriwi tangia amekuja yanga ni mechi gani kubwa ameng'aa zaidi ya kuwa nyota wa magazetini
 
Ni bora akae benchi akipwe pesa zake kuliko kucheza yanga halafu halipwi na anaishia kula mahindi na ice cream tu baada ya mechi.njaa isikie kwa wenzio.mwachen akatengeneze pesa msimdanganye kijana wa watu.hapendwi mtu...pesa tu.
Hujui unachongea
 
Kwa akili yako mechi ya lipuli na ndanda no kubwa kuliko mechi ya nkana na as Vita chama anachezea timu ya taifa huyo ajibu wenu hata timu ya taifa hafikiriwi tangia amekuja yanga ni mechi gani kubwa ameng'aa zaidi ya kuwa nyota wa magazetini
Unaweza kuitwa timu na ukawa mbovu kama Thomas Ulimwengu
 
Nadhan huo ndo ukwel
 
Mpira ni zaidi ya kipaji....Ajibu Hana nidhamu. ..ni Sawa na Mkude tu..Samatta na Ulimwengu walianza kuendesha Range rover wakiwa TP Mazembe. ..sio lazima kwenda Ulaya
Hakika
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…