Ajibu ni mchezaji asiye na Bahati

Huwa nashangaa yaani mvivu kuzidi hata mkongwe ngasa
Ngasa enzi zake sijui kwanini Hakwenda ulaya. Tatizo la wachezaji wa Tanzania ni moja hawana njaa ya mafanikio zaidi na zaidi wanaridhika mapema na kupunguza bidii Pindi wakifika daraja Fulani . Kwa wachezaji wa sasa iwe simba iwe Yanga hakuna anaecheza kwa kiwango alichocheza ngasa akiwa kwenye peak.alikuwa midfield maestro kweli kweli mchezeshaji timu . Labda sasa hivi namuona Msuva kiu chake kinaongezeka kadri siku zinavyoenda haridhiki na alipo sasahivi na nii inatokana na kupenda mazoezi
 
Nakubali
 
Alipohama Simba alifanya kibri sana bila kujua kwamba anapishana na fweza....
 
Ajibu sikio la kufa.
Zahera aliweza kumvumilia kutokana na hali halisi ya Yanga. Vinginevyo angeishamtimua kama Beno
 
Alimpa kitambaa cha Unahodha amtimueje sasa
Yote katika kumvuta akae mstarini lakini akili yake anaijua mwenyewe. Sikio la kufa. Unahodha huweza kumbadili mtu ajitambue lakini kwake haikufanya kazi.
 
Yote katika kumvuta akae mstarini lakini akili yake anaijua mwenyewe. Sikio la kufa. Unahodha huweza kumbadili mtu ajitambue lakini kwake haikufanya kazi.
Unakataa kwenda tp mazembe?
 
Hawajitambui,bahati huja ukiwa unajituma na kuwa na desire for success
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…