Ajibu ni mchezaji asiye na Bahati

Ajibu ni mchezaji asiye na Bahati

Huwa nashangaa yaani mvivu kuzidi hata mkongwe ngasa
Ngasa enzi zake sijui kwanini Hakwenda ulaya. Tatizo la wachezaji wa Tanzania ni moja hawana njaa ya mafanikio zaidi na zaidi wanaridhika mapema na kupunguza bidii Pindi wakifika daraja Fulani . Kwa wachezaji wa sasa iwe simba iwe Yanga hakuna anaecheza kwa kiwango alichocheza ngasa akiwa kwenye peak.alikuwa midfield maestro kweli kweli mchezeshaji timu . Labda sasa hivi namuona Msuva kiu chake kinaongezeka kadri siku zinavyoenda haridhiki na alipo sasahivi na nii inatokana na kupenda mazoezi
 
Nakubali
 
Ibrahimu Ajibu!
Huyu ni mchezaji mwenye kipaji sana. Nikiri wazi namkubali sana. Huyu jamaa anamatatizo sana tena sijui ndo tuite nuksi,

Anatatizo kubwa la pupa, mfano wakati yanga wapo vizuri aliwapupia ,sasa simba wapo vizuri anawapupia mno amesahau walivyompuuza.
Ukweli ni kuwa hana uvumilivu yeye hana profile kubwa kumshinda Tshishimbi hata mrisho ngasa,sasa anajiona star, wa mechi za njombe mji.

Ni mchezaji wa kipindi kimoja na kiwango chache hakitulii yaani anashindwa hata na Paul Godfrey, japo ni bora kuliko Chama. Na hii sijui inasababishwa na nini sijui kocha anamtumia vibaya. Na hii nadhani ndo inamchelewesha hata kuitwa timu ya taifa, japo naamini kama ataendelea kuwagomea yanga kucheza hataitwa maana haonekani ,Na bado miezi miwili African ianze.

Namshauri!

Avumilie Yanga hakuna njaa tena msimu ujao, Wanayanga huwa hawezi kuvumilia shida ni watata mno na wana watu wazito na wenye pesa kuliko club yoyote Tanzania.Yaani anapisha na kapo la hela yaani kila wakati yeye hupishana na noti,maana sasa hivi wanamsajili kama hisani(kumuokoa).

Pili,Ajitambue vinginevyo atacheza mpira kwa muda mfupi sana maana kiwango hupungua kama huchezi.

Tatu, Ajitahidi kupata meneja mzuri nae akajaribu soka nje,naona ndani atasumbuka maana nasikia tetesi kuwa kocha hakuwa amempendekeza Bali naskia Mo na Manara wanampenda sana.

Nne, ajaribu kuwa konga nyoyo washabiki yaani ajijengee fans base kubwa,naamini niyonzima anapendwa sana na wanayanga kuliko Ajibu japo yupo simba, pia Mohamed zimbwe anapendwa na wasimba kuliko Pascal wawa. Hii husaidia kumlinda mchezaji pindi kiwango kinaposhuka.

5. Namtakia kila la heri ,Fundi huyu na ball dancer mzawa.

Note:Sio lazima apokee ushauri

Nawasilisha.
Ajibu sikio la kufa.
Zahera aliweza kumvumilia kutokana na hali halisi ya Yanga. Vinginevyo angeishamtimua kama Beno
 
Alimpa kitambaa cha Unahodha amtimueje sasa
Yote katika kumvuta akae mstarini lakini akili yake anaijua mwenyewe. Sikio la kufa. Unahodha huweza kumbadili mtu ajitambue lakini kwake haikufanya kazi.
 
Unakataa kwenda tp mazembe?
 
Ibrahimu Ajibu!
Huyu ni mchezaji mwenye kipaji sana. Nikiri wazi namkubali sana. Huyu jamaa anamatatizo sana tena sijui ndo tuite nuksi,

Anatatizo kubwa la pupa, mfano wakati yanga wapo vizuri aliwapupia ,sasa simba wapo vizuri anawapupia mno amesahau walivyompuuza.
Ukweli ni kuwa hana uvumilivu yeye hana profile kubwa kumshinda Tshishimbi hata mrisho ngasa,sasa anajiona star, wa mechi za njombe mji.

Ni mchezaji wa kipindi kimoja na kiwango chache hakitulii yaani anashindwa hata na Paul Godfrey, japo ni bora kuliko Chama. Na hii sijui inasababishwa na nini sijui kocha anamtumia vibaya. Na hii nadhani ndo inamchelewesha hata kuitwa timu ya taifa, japo naamini kama ataendelea kuwagomea yanga kucheza hataitwa maana haonekani ,Na bado miezi miwili African ianze.

Namshauri!

Avumilie Yanga hakuna njaa tena msimu ujao, Wanayanga huwa hawezi kuvumilia shida ni watata mno na wana watu wazito na wenye pesa kuliko club yoyote Tanzania.Yaani anapisha na kapo la hela yaani kila wakati yeye hupishana na noti,maana sasa hivi wanamsajili kama hisani(kumuokoa).

Pili,Ajitambue vinginevyo atacheza mpira kwa muda mfupi sana maana kiwango hupungua kama huchezi.

Tatu, Ajitahidi kupata meneja mzuri nae akajaribu soka nje,naona ndani atasumbuka maana nasikia tetesi kuwa kocha hakuwa amempendekeza Bali naskia Mo na Manara wanampenda sana.

Nne, ajaribu kuwa konga nyoyo washabiki yaani ajijengee fans base kubwa,naamini niyonzima anapendwa sana na wanayanga kuliko Ajibu japo yupo simba, pia Mohamed zimbwe anapendwa na wasimba kuliko Pascal wawa. Hii husaidia kumlinda mchezaji pindi kiwango kinaposhuka.

5. Namtakia kila la heri ,Fundi huyu na ball dancer mzawa.

Note:Sio lazima apokee ushauri

Nawasilisha.
Hawajitambui,bahati huja ukiwa unajituma na kuwa na desire for success
 
Back
Top Bottom