Ajibu ni mchezaji asiye na Bahati

Ajibu ni mchezaji asiye na Bahati

DREAMBOY

JF-Expert Member
Joined
Nov 17, 2013
Posts
2,117
Reaction score
1,369
Ibrahimu Ajibu!
Huyu ni mchezaji mwenye kipaji sana. Nikiri wazi namkubali sana. Huyu jamaa anamatatizo sana tena sijui ndo tuite nuksi,

Anatatizo kubwa la pupa, mfano wakati yanga wapo vizuri aliwapupia ,sasa simba wapo vizuri anawapupia mno amesahau walivyompuuza.
Ukweli ni kuwa hana uvumilivu yeye hana profile kubwa kumshinda Tshishimbi hata mrisho ngasa,sasa anajiona star, wa mechi za njombe mji.

Ni mchezaji wa kipindi kimoja na kiwango chache hakitulii yaani anashindwa hata na Paul Godfrey, japo ni bora kuliko Chama. Na hii sijui inasababishwa na nini sijui kocha anamtumia vibaya. Na hii nadhani ndo inamchelewesha hata kuitwa timu ya taifa, japo naamini kama ataendelea kuwagomea yanga kucheza hataitwa maana haonekani ,Na bado miezi miwili African ianze.

Namshauri!

Avumilie Yanga hakuna njaa tena msimu ujao, Wanayanga huwa hawezi kuvumilia shida ni watata mno na wana watu wazito na wenye pesa kuliko club yoyote Tanzania.Yaani anapisha na kapo la hela yaani kila wakati yeye hupishana na noti,maana sasa hivi wanamsajili kama hisani(kumuokoa).

Pili,Ajitambue vinginevyo atacheza mpira kwa muda mfupi sana maana kiwango hupungua kama huchezi.

Tatu, Ajitahidi kupata meneja mzuri nae akajaribu soka nje,naona ndani atasumbuka maana nasikia tetesi kuwa kocha hakuwa amempendekeza Bali naskia Mo na Manara wanampenda sana.

Nne, ajaribu kuwa konga nyoyo washabiki yaani ajijengee fans base kubwa,naamini niyonzima anapendwa sana na wanayanga kuliko Ajibu japo yupo simba, pia Mohamed zimbwe anapendwa na wasimba kuliko Pascal wawa. Hii husaidia kumlinda mchezaji pindi kiwango kinaposhuka.

5. Namtakia kila la heri ,Fundi huyu na ball dancer mzawa.

Note:Sio lazima apokee ushauri

Nawasilisha.
 
Acha waendelee kuzurula tu hapa hapa Bongo anashindwa hata kujiongeza,akiondoka Yanga bado itaendelea kuwepo na hatakuwa wa kwanza kuondoka
 
Maisha ya mpira Ni mafupi Sana mwacheni apige hela kwa kipindi hiki kifupi kumbuka Mpira yeye Ni kazi yake sisi mashabiki acha tushabikie tuu ila ukweli pia tuuseme tusilaumu laumu Kila kitu hivi hapa Nani anaweza akafanya kazi akapata mshahara wa mashaka Shaka na usiokua na marupurupu?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hana bahati ama ajitambui, tatizo la ajibu ni ajibu mwenyewe kutokujitambua, sina uhakika kama ana kipaji zaidi ya chama lakini si mchezaji wa kuendelee kucheza ligi ya nyumbani na wala haoneshi dalili, uchungu wala tamaa ya kufika huko, kifupi karidhika.

Kipaji pekee hakitoshi kukufikisha mahala fulani kwa kipaji binafsi cr7 si tu hapaswi kukaa meza moja messi ila pia ameachwa na wachezaji kibao, cr7 pale alipo kajiongeza saana, anq juhudi, ana njaa ya mafanikio, anafanya kila awezalo awe juu, hvyo vitu havijaja kwa bahati nasibu mtizame ricardo quaresma wa leo na quaresma yule wa porto ile.

Ajibu mbaya wake wa kwanza ni yeye, mbya wake wa pili ni watu wanaomzunguruka, mbaya wake wa 3 ni yeye mwenyewe.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ibrahimu Ajibu!
Huyu ni mchezaji mwenye kipaji sana. Nikiri wazi namkubali sana. Huyu jamaa anamatatizo sana tena sijui ndo tuite nuksi,
Anatatizo kubwa la pupa, mfano wakati yanga wapo vizuri aliwapupia ,sasa simba wapo vizuri anawapupia mno amesahau walivyompuuza.
Ukweli ni kuwa hana uvumilivu yeye hana profile kubwa kumshinda Tshishimbi hata mrisho ngasa,sasa anajiona star, wa mechi za njombe mji.
Ni mchezaji wa kipindi kimoja na kiwango chache hakitulii yaani anashindwa hata na Paul Godfrey, japo ni bora kuliko Chama. Na hii sijui inasababishwa na nini sijui kocha anamtumia vibaya. Na hii nadhani ndo inamchelewesha hata kuitwa timu ya taifa, japo naamini kama ataendelea kuwagomea yanga kucheza hataitwa maana haonekani ,Na bado miezi miwili African ianze.
Namshauri!
Avumilie Yanga hakuna njaa tena msimu ujao, Wanayanga huwa hawezi kuvumilia shida ni watata mno na wana watu wazito na wenye pesa kuliko club yoyote Tanzania.Yaani anapisha na kapo la hela yaani kila wakati yeye hupishana na noti,maana sasa hivi wanamsajili kama hisani(kumuokoa).
Pili,Ajitambue vinginevyo atacheza mpira kwa muda mfupi sana maana kiwango hupungua kama huchezi.
Tatu, Ajitahidi kupata meneja mzuri nae akajaribu soka nje,naona ndani atasumbuka maana nasikia tetesi kuwa kocha hakuwa amempendekeza Bali naskia Mo na Manara wanampenda sana.
Nne, ajaribu kuwa konga nyoyo washabiki yaani ajijengee fans base kubwa,naamini niyonzima anapendwa sana na wanayanga kuliko Ajibu japo yupo simba, pia Mohamed zimbwe anapendwa na wasimba kuliko Pascal wawa. Hii husaidia kumlinda mchezaji pindi kiwango kinaposhuka.
5. Namtakia kila la heri ,Fundi huyu na ball dancer mzawa.
Note:Sio lazima apokee ushauri
Nawasilisha.
 
Ajibuuu!Namktmbuka Tegete wa yanga,alibebwa na maksimo akawa supa sub,kamaliza mpira utotoni kamuacha anko Ngasa,Mwenzio singano sikuhizi anacheza cheza Ila sio nyota kama alivyo kuwa Simba,tatizo lile lile la uvivu walilo lalamikia simba umehamia nalo Yanga hiyo ndio tabia yako,hata makeke yote yakujituma kua sisti,ni majivuno yakutuonyesha kuwa yanga wamepata simba wamelamba galasa kwa Niyonzima
Niyo karudi fom kakukata maini,kazi unayo
Tafakari
 
Huwa nashangaa yaani mvivu kuzidi hata mkongwe ngasa
 
Back
Top Bottom