Rodgers Bernard
Member
- Oct 14, 2018
- 66
- 63
Ushawahi kufanya nae mazoez uwanja gni mzeeAjibu ni mvivu wa mazoezi, ana mikosi ya kubeba ubingwa, na uhakika simba hawatabeba kombe lolote msimu ujao
Bado hujuagi ,MTU anaikataa man united anaenda asernal..Au hujawahi ona au soma pahala Ferguson airport kapokea mchezaji aliyekua anaenda kumalizana na Chelsea. Anaivetiwa kwenda kwa wekunduHuyu jamaa tayari rasmi katangazwa na wekundu wa msimbazi kwa mkataba wa miaka miwili ,ingawa mm ni mshabiki wa hii simba lakini najiuliza kwanini huyu mchezaji aliwatolea nje TP Mazembe akawakubali simba napata mashaka na uwezo wake!!!!!!
[emoji23][emoji23]Huyu jamaa simba si walikuwa wanadai ni mchawi au siyo huyu
Simba ni bora kuliko mazembeHuyu jamaa tayari rasmi katangazwa na wekundu wa msimbazi kwa mkataba wa miaka miwili ,ingawa mm ni mshabiki wa hii simba lakini najiuliza kwanini huyu mchezaji aliwatolea nje TP Mazembe akawakubali simba napata mashaka na uwezo wake!!!!!!
Terms and conditionsWachezaji wote wanaocheza nyumbani. .hakuna kuitwa Taifa stars tena
Hii ramli ya mafigani moshi utakuumiza mtaniAjibu ni mvivu wa mazoezi, ana mikosi ya kubeba ubingwa, na uhakika simba hawatabeba kombe lolote msimu ujao
Ndio yeye mzee wa makorokocho na kapteni wa YangaHuyu jamaa simba si walikuwa wanadai ni mchawi au siyo huyu
Turnkey, post: 32044927, member: 155627Wachezaji wote wanaocheza nyumbani. .hakuna kuitwa Taifa stars tena
π π π π πAjibu ni mvivu wa mazoezi, ana mikosi ya kubeba ubingwa, na uhakika simba hawatabeba kombe lolote msimu ujao
Kumbe ilikuwa ina majembe, sasa kwanini msingeanza kulima mjikwamue kiuchumi πππ nataniaSawa Mtani kumbe Timu ya Wananchi ilikuwa na majembe eee?
Haya bana Mtani.Kumbe ilikuwa ina majembe, sasa kwanini msingeanza kulima mjikwamue kiuchumi πππ natania
Simba nguvu moja
Walianzia kupikwa MsimbaziSawa Mtani kumbe Timu ya Wananchi ilikuwa na majembe eee?
Alikua huyo mmoja tuSawa Mtani kumbe Timu ya Wananchi ilikuwa na majembe eee?