Ajibu rasmi Simba

Ajibu rasmi Simba

Joined
Oct 14, 2018
Posts
66
Reaction score
63
Huyu jamaa tayari rasmi katangazwa na wekundu wa msimbazi kwa mkataba wa miaka miwili ,ingawa mm ni mshabiki wa hii simba lakini najiuliza kwanini huyu mchezaji aliwatolea nje TP Mazembe akawakubali simba napata mashaka na uwezo wake!!!!!!
 
Huyu jamaa simba si walikuwa wanadai ni mchawi au siyo huyu
 
Huyu jamaa tayari rasmi katangazwa na wekundu wa msimbazi kwa mkataba wa miaka miwili ,ingawa mm ni mshabiki wa hii simba lakini najiuliza kwanini huyu mchezaji aliwatolea nje TP Mazembe akawakubali simba napata mashaka na uwezo wake!!!!!!
Bado hujuagi ,MTU anaikataa man united anaenda asernal..Au hujawahi ona au soma pahala Ferguson airport kapokea mchezaji aliyekua anaenda kumalizana na Chelsea. Anaivetiwa kwenda kwa wekundu
 
Huyu jamaa tayari rasmi katangazwa na wekundu wa msimbazi kwa mkataba wa miaka miwili ,ingawa mm ni mshabiki wa hii simba lakini najiuliza kwanini huyu mchezaji aliwatolea nje TP Mazembe akawakubali simba napata mashaka na uwezo wake!!!!!!
Simba ni bora kuliko mazembe
 
Msuva
Ulimwengu
Banda
Samatta
A.Yusuf
Mandawa
Ambokile
Mao
Zayd
Kaheza
Kichuya
Farid
Ninja
.. Ongezea mkuu kujaza timu ya taifa ya mapro
Wachezaji wote wanaocheza nyumbani. .hakuna kuitwa Taifa stars tena
Turnkey, post: 32044927, member: 155627
 
Ule msemo wa "AKILI NI NYWELE" maana yake ndio hiyo, ukiangalia mtindo wa nywele wa AJIBU unaelewa nini kinaendelea kichwani mwake .
 
Back
Top Bottom