Mbaga Jr
JF-Expert Member
- May 28, 2018
- 54,814
- 133,717
Tatizo linaanzia hapo kwenye uislamuKuna binti wa kiislamu jirani hapa…kutwa kulia lia…jamani tusomeshe watoto wapate vibarua wajitegemee…pesa ya mwanaume ni utumwa
Tatizo linaanzia hapo kwenye uislamuKuna binti wa kiislamu jirani hapa…kutwa kulia lia…jamani tusomeshe watoto wapate vibarua wajitegemee…pesa ya mwanaume ni utumwa
Tambaa mbele kiazi wewe,acha shobo kwangu.
Mkuu, ww n muislamu?Wewe mimi kuuliza kimekuwasha nini?
Au wewe umepungukiwa nini kwa mimi kuuliza?
Nimekuuliza wewe au ni kiherehere chako tu cha kutaka kujibizana na wanaume ili uone raha? Binti jiangalie,
Ungekua na akili timamu ungeelewa kua kutaja kabila la mtu au dini ya mtu unapomuongelea kwenye jambo ambalo halihusiki na dini yake wala kabila lake ni issue ya discrimination.
Tambaa mbele kiazi wewe,acha shobo kwangu.
Source ya habari ni mwendokasi Tv, halafu wanamalizia habari yao kwamba "Mpaka sasa chanzo rasmi cha kifo cha Jasmini hakijafahamika"Mwanamke aliyetambuliwa kwa jina la Jasmini Hamisi, mkazi wa Mtaa wa Murieti, Kata ya Murieti jijini Arusha, amefariki dunia baada ya kudaiwa kunywa kimiminika kinachohisiwa kuwa sumu na baadaye kukutwa akiwa amejinyonga ndani ya nyumba aliyokuwa akiishi na mumewe.
Tukio hilo limetokea Oktoba 18, 2026, siku moja baada ya taarifa kueleza kuwa Jasmini alimwomba mumewe, Hamisi Maulidi, nauli ya kwenda mkoani Singida kuwasalimia wazazi wake, lakini akaambiwa asubiri hadi hali ya kifedha itakapokuwa nzuri.
Kwa mujibu wa maelezo yaliyotolewa kuhusu tukio hilo, Hamisi aliondoka nyumbani asubuhi kwenda kazini, Aliporejea na kugonga mlango bila kupata majibu, alimwita jirani kumsaidia. Jirani huyo alipozunguka nyuma ya nyumba na kuchungulia kupitia dirishani, alimwona Jasmini akiwa amejinyonga kwa kutumia mtandio aliokuwa ameufunga kwenye chuma cha kutundikia pazia.
Mtoto mdogo aliingizwa ndani kupitia dirishani ili kufungua mlango. Walipoingia, walimkuta Jasmini akiwa bado anapumua kwa shida na kufanya jitihada za kumpeleka hospitalini, hata hivyo, alifariki dunia. Majirani walieleza kuwa walikata mtandio huo kwa haraka wakijaribu kumuokoa.
Aidha, inadaiwa kuwa ndani ya nyumba hiyo kulionekana kikombe chenye kimiminika kisichojulikana, huku soda ikiwa pembeni. Hata hivyo, haijathibitishwa iwapo kimiminika hicho kilikuwa sumu.
Mpaka sasa, chanzo rasmi cha kifo cha Jasmini hakijafahamika, na hakuna uthibitisho kuwa ombi la nauli ya kwenda Singida lilikuwa na uhusiano na tukio hilo. Maelezo haya tunahitaji kuthibitisha na mamlaka husika kabla ya kuhitimisha mazingira ya kifo chake.
Chanzo: Mwendokasi Tv
Nilimuua mumeo?Sawa wauaji
Muulize mamako atakupa jibu,tunajuana.Mkuu, ww n muislamu?
Sawa wauaji
Nilimuua mumeo?
Akiwemo na mumeo?Watanzania zaidi ya 500.
Hivyo vilio anatombwa au?Kuna binti wa kiislamu jirani hapa…kutwa kulia lia…jamani tusomeshe watoto wapate vibarua wajitegemee…pesa ya mwanaume ni utumwa
Kwa hili jibu ww lazima utakuwa kobaz ndo mana umewehuka, huna akili.Muulize mamako atakupa jibu,tunajuana.
Muulize mamako atakupa jibu,tunajuana.
Uislamu ni dini ya laana, ukiwa muislamu umelaaniwa na MunguMtoto amechoka kubakwa!
Makobaz wana matatizo ya akiliUsitukane jibu swali, makasiriko ya Nini.?
Kumbe hiyo nayo ni ID yako,Usitukane jibu swali, makasiriko ya Nini.?
Akiwemo na mumeo?
Dini ya kweli ni hawa huku wamebarikiwa kwa kufukuana tope.Uislamu ni dini ya laana, ukiwa muislamu umelaaniwa na Mungu