Ajinyonga baada ya mume wake kumnyima nauli ya kwenda Singida

Kwahiyo wagalatia wote wao wanafanya kazi sio?
Nani kakuaminisha kua kusoma ndio kufanya kazi?

Ni wasomi wangapi wapo mitaani ila hawana kazi?
Basi wawe wanapatiwa mahitaji ya ndani mkuu,siyo vizuri kumuumiza mwanamke ndani ya ndoa eti kwa sababu umemsitiri sijui
 
Basi wawe wanapatiwa mahitaji ya ndani mkuu,siyo vizuri kumuumiza mwanamke ndani ya ndoa eti kwa sababu umemsitiri sijui
Wanawake wa kigalatia,wote wamestarehe kwenye ndoa zao?

Issue yako ni issue inayowafika wanawake wengi tu,wala sio issue inayohusiana na dini ya mtu wala kabila la mtu,ni issue ambayo ipo kwenye kila jamiii na kwenye kila dini.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…