Ajinyonga baada ya mume wake kumnyima nauli ya kwenda Singida

Mwanamke mjinga huyu,ni mzuri wa sura lakini kashindwa kuutumia uzuri wake kuepuka kifo,si angetafuta mchepuko ukampa hiyo fedha akaenda kwao.

Watu wangu wanaangamia kwa kukosa maarifa
 
Neno nasikia ni neno linalotumiwa na watu wambea,
Mtu anayejielewa hueleza kwa kujua na sio kwa kusikia,mkiwa mnasukana huku vijiweni ndio hua mna aminishana hivyo?


Ukweli unabaki kuwa kweli,mafundisho yenu ni yapi ?

Huo ndo ukweli mwanamke wa kislamu misingi yenu akae nyumbani apike

Mlivyo mbumbu mnaoa wanawake wawili au watatu hata mmoja kumnulia chupi hamuezi ,stupidy
 
Ukweli unabaki kuwa kweli,mafundisho yenu ni yapi ?

Huo ndo ukweli mwanamke wa kislamu misingi yenu akae nyumbani apike

Mlivyo mbumbu mnaoa wanawake wawili au watatu hata mmoja kumnulia chupi hamuezi ,stupidy
Hivi wewe Binti unajielewa kweli?

Unaleta habari ambayo source yake ni Nasikia

Halafu unadai kua ukweli unabaki kua ukweli!
Ukweli kwa habari ya Nasikia!

Hivi ulienda hata Shule?

Toka mwanzo nilikwambia kua unasumbuliwa na Islamophobia,ukajifanya kujificha ficha ila kwa vile kichwani ni mtupu,ukajiweka wazi bila kutarajia.
 
Wanandoa wamevurugwa, mwendo ni kuua na kujiua tu. Sasa kama mtu kanyimwa nauli aende kwao si kuna namna nyingi za kupata nauli? Angejiuza tu auze mbususu apate hela atoroke aende kwao kuliko kujiua, haya ni matatizo ya afya ya akili
 
Kwani mtu ukiwa peke yako unakufa!!....Kuna wakati unaona kabisa wanaojiua na matatizo yao ni cha mtoto sana kwa uliyopitia,...
Unakuta mtu ameachwa halafu hayo mahusiano yamemsababishia kurudi nyuma yani hana chochote alivyokuwa navyo na watoto vimeenda na mama yao.ndugu wanamuona mjinga kwa sababu labda alimpenda sana mkewe hivyo hawamsaidii.So man alone halafu hajui hata anaenda wapi na hajiui anaanza moja.

Mtu anajiua mara kaachwa mara kanyimwa unyumba,,magonjwa ya akili na ushetani tu.
 
Wapumvavu waendelee kupungua tu
 
Haya ndio matatizo ya kuoa vitoto, Sasa Mume meishiwa , yeye hataki kukubali
 
Kuna binti wa kiislamu jirani hapa…kutwa kulia lia…jamani tusomeshe watoto wapate vibarua wajitegemee…pesa ya mwanaume ni utumwa
Ungejua wasomi tulioko uku mtaani tunavyokaza.....acha kabisa, kusoma sio guarante ya kuishi vzuri

Ndoa zinazongoza kwa matatzo ni za wasomi..... Na waislamu wanasubra sana kwenye swala la ndoa
 
sasa huyu si nimtoto
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…