TANZIA Ajinyonga kwa wivu wa mapenzi akiwa na ujauzito wa miezi tisa

TANZIA Ajinyonga kwa wivu wa mapenzi akiwa na ujauzito wa miezi tisa

Alale salama mjamzito.
Pole kwa mume na wote walioguswa na msiba
 
MWANAMKE mmoja amejinyonga kwa kutumia kanga kwenye mti wa mwembe katika kijiji cha Itununu wilayani Serengeti, kwa madai ya wivu wa mapenzi, huku akiwa na mimba ya miezi tisa.


Mkuu wa wilaya ya Serengeti, Nurdin Babu, alithibitisha kwamba Mkami Nyamhanga (21) alijinyonga Januari 17. 2021, kwenye mti wa mwembe uliopo shambani.

Alisema mwili wake ulionwa na watoto waliokuwa wanakwenda kuangua matunda kwenye mwembe huo na ndiyo waliotoa taarifa ya kifo hicho. Kwa mujibu wa babu wa marehemu amedai alikuwa anamtuhumu mume wake kuwa na mpenzi mwingine.

Asubuhi alitoka bila kuaga mpaka alipogundulika amejinyonga kwa kutumia kitanzi cha nguo ambayo alifunga kwenye tawi la mwembe na kuning’inia,”alisema na kuongeza:

“Mganga aliyefanya uchunguzi alibaini kuwa kifo chake kimetokana na kitanzi shingoni kilichosababisha mzunguko wa damu na hewa kukosekana. Ndugu walikabidhiwa mwili kwa ajili ya kuuzika na hakuna mtu aliyekamatwa lakini uchunguzi unaendelea.’’


Mganga mfawidhi wa zahanati ya Itununu, Melick Salapioni, alilieleza Mwananchi kuwa mwanamke huyo alikuwa na mimba inayokaribia miezi tisa.

Alisema kutokana na mama kujiua, alikata mawasiliano ya hewa ya oksijeni kati yake na mtoto na hivyo kusababisha kichanga hicho kufa.
 
Kuna baadhi ya vifo hata kama hujasomea udaktari unaweza kuelezea sababu zake. Kama hicho hata mimi sababu nilikuwa na jua ni hizo hizo.
 
RIP mama kija.
Nashauri DNA za kichanga zipimwe kuona kama zina match na baba muhisika alietajwa kisha polisi warekebisha taarifa kutokana na majibu ya PARTENITY TEST.
Tunapigwa sana siku izi. Usikute jamaa alishaona sina changu hapa.
 
Haya mambo jaman yaacheni tu,mjamzito akinasa wengi wao hawatoi papuchi huwa hawana hamu kabisa ya tendo la ndoa na kusababisha wanaume kujipoza nje.

Huenda yamemkuta haya bb huyu marehemu.
Wajawazito huwa hawaeleweki mkuu... Kuna mjamzito mmoja alikuwa ananiambia live Hana hamu na mume wake Bali ana hamu na mimi... Nimsaidie kumkata na Mimi nikawa namsaidia
 
  • Mshangao
Reactions: 1gb
Dah! Ameua kiumbe kisicho na hatia kisa wivu wa mapenzi.😥
 
Mjamzito kapandaje kwenye mti?
...Swali zuri sana. Nami Nina langu. Ninapoangalia urefu was upande was Khanga...halafu MTU ajinge hadi mshike vizuri shingoni...kisha sehemu ili sehemu iliyobaki aizungushe kwenye tawi kisha aifunge vizuri fundo linaloweza kumnyonga binadamu bila kuchoropoka...ninajikuta nikijiuliza sana!
Nahisi kwamba hivi vifo vya kujinyonga vinakuwa havichunguzwi sawa sawa ....[emoji848]
 
Back
Top Bottom