Ajinyonga ukweni baada ya kunyimwa mke

Ajinyonga ukweni baada ya kunyimwa mke

Mnateswa na mapenzi kwa sababu mnataka mademu wanaosifiwa na kila mtu kwamba ni mzuri sana

Kuna hii class ya medium ladies huwa sio wazuri sana wala wabaya sana

These are my thing coz sio expensive sana na mara nyingi wanajiheshimu cz competition sio kubwa kama hao wenu.
Hawa medium hata mimi ndio type yangu mkuu. Afu wanajituma sana kuliko hawo wanaowaita wazuri.
 
Back
Top Bottom