Mnateswa na mapenzi kwa sababu mnataka mademu wanaosifiwa na kila mtu kwamba ni mzuri sana
Kuna hii class ya medium ladies huwa sio wazuri sana wala wabaya sana
These are my thing coz sio expensive sana na mara nyingi wanajiheshimu cz competition sio kubwa kama hao wenu.