Ajira 2,611 za Ualimu zatangazwa, huu sio mkakati wa CCM kuongeza wapiga kura?

Ajira 2,611 za Ualimu zatangazwa, huu sio mkakati wa CCM kuongeza wapiga kura?

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
2,060
Reaction score
5,648
Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma kwa niaba ya Mamlaka za Serikali za Mitaa (LGAs) anakaribisha maombi ya kazi kutoka kwa Watanzania wenye sifa na uwezo wa kujaza nafasi elfu mbili mia sita kumi na moja (2,611).

Serikali ilitoa tangazo hilo Februari 10, 2025 huku kwa kiwango kikubwa cha nafasi hizo zikiwa ni za ualimu.

Katika tangazo hilo lililotolewa na Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma limesema mwisho wa kutuma maombi hayo ni Februari 20, 2025.
 

Attachments

. Ukishindwa kuajiriwa mwaka huu,

. kuna namna kaisafishe Nyota yako yawezekana kuna wahuni wanaitumia kwenye biashara zao. 🤨🤨🤨
 
Back
Top Bottom