Ojuolegbha
JF-Expert Member
- Sep 6, 2020
- 1,773
- 1,174
AJIRA 31,148 ZIMEZALISHWA KWENYE MIRADI YA UMEME
Utekelezaji wa miradi ya uzalishaji, usafirishaji na usambazaji wa umeme imezalisha ajira 31,148.
Kwenye ajira Hizo wapo wanawake (4,915), wanaume (26,179) na walemavu (54).
Kati ya ajira hizo, miradi ya uzalishaji iliajiri watu 4,018 (wanawake 829, wanaume 3,187 na walemavu 2), Miradi ya Usafirishaji iliajiri watu 11,278 (wanawake 2,066, wanaume 9,160 na walemavu 52) na Miradi ya usambazaji umeme watu 1,104 (wanawake 115 na wanaume 989).
Aidha, kati ya ajira zilizopatikana katika miradi ya umeme, ajira 4,307 ni za kudumu na 26,841 ni za muda mfupi.
Hii ni katika utekelezaji wa bajeti ya serikali kwa mwaka 2024/25.