Faru dume
JF-Expert Member
- Dec 7, 2012
- 471
- 116
Poleni ndugu zangu,napenda kuchukua fulsa hii kuwaomba walimu wenzangu wanaotarajia kuajiliwa mwakani ambao wapo tempo katika shule binafsi waniiunganishe na waajili wao ili nami nipate chochote mpaka pale nitakapo rudia suplimentary yangu.
Masomo ninayofundisha ni Geography na History nimesoma diploma.
Ningependa ajira yangu itoke maeneo ya Moshi au Arusha,namba zangu ni 0713619176,ni text tu nitakupgia wandugu asanteni.
Masomo ninayofundisha ni Geography na History nimesoma diploma.
Ningependa ajira yangu itoke maeneo ya Moshi au Arusha,namba zangu ni 0713619176,ni text tu nitakupgia wandugu asanteni.