Ajira: Be aware facebook users!!

Sizinga

Platinum Member
Joined
Oct 30, 2007
Posts
9,374
Reaction score
6,857


Imetokea kwa ofisi flani...post 1 watu 1000, wamechambua wakapatikana watu 20, kamati ikadai inataka watu 15 tu kwa interview, wakaingia facebook, personal details kwa wote waliojiachia zika-display, watano kati yao wakaangukia pua.

NB: Baadhi Waajiri kwa sasa wanaangalia facebook page kuona personal details za watu kwani tabia ya mtu hujionyesha sana kwenye profile yako kule. So JF msijiachie sana kule!!
 

I like tht company coz' they knw wht they're doing n' wht they're looking for!!! nimegundua, serious people hata kama watakuwa na a/c fb, bado utakuta wana post chache sana na marafiki hawafiki hata 100! Kuna binti mmoja kuna siku baba ake alimlazimisha ku-log in kwenye a/c yake ya fb ili aikague. yule binti akanitumia password word yake ili nifute baadhi ya picha! Ile kuingia tu, nikakutana na friends zaidi ya 100 wapo online na total number of friends alionao ni zaidi ya 3000!! hizo picha zake sasa....!!!
 
Kwahiyo ilikuaje...binti walimfanyaje?hembu tumalizie bana!!
 
Mmenisaidia sana kwa hili. Kikubwa kule fb ni kucheza na a/c settings na privacy! Don't allow peope to search you in fb by either name or email.

Hilo nalo neno....vilevile dont even accept invitation from some uknown s.hit friends!! Itakula kwako.
 
Mbona wengne hatutumii majina yetu halisi kule fb jaman?
 
Kila kitu kina muda wake na mahala pake,ukichanganya ni uchafu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…