Sizinga
Platinum Member
- Oct 30, 2007
- 9,374
- 6,857
Imetokea kwa ofisi flani...post 1 watu 1000, wamechambua wakapatikana watu 20, kamati ikadai inataka watu 15 tu kwa interview, wakaingia facebook, personal details kwa wote waliojiachia zika-display, watano kati yao wakaangukia pua.
NB: Baadhi Waajiri kwa sasa wanaangalia facebook page kuona personal details za watu kwani tabia ya mtu hujionyesha sana kwenye profile yako kule. So JF msijiachie sana kule!!