Hajto JF-Expert Member Joined Sep 30, 2013 Posts 5,646 Reaction score 5,606 Jun 3, 2022 #1 Habari zenu mabibi na mabwana,naomba kuuliza jamani eti ni shirika gani ama idara ya serikali gani inaajiri wenyewe bila ya kupitia utumishi
Habari zenu mabibi na mabwana,naomba kuuliza jamani eti ni shirika gani ama idara ya serikali gani inaajiri wenyewe bila ya kupitia utumishi
Clark boots JF-Expert Member Joined Jun 5, 2017 Posts 6,770 Reaction score 6,202 Jun 3, 2022 #2 Kama una shida ya kazi na huko utumishi zinatangazwa kazi si uomba kama wanavyofanya wenzio.. Au unataka shortcut mkuu? Basi tafuta connection Ila ukweli Ajira nyingi Sasa zinapitia huko. Labda ujaribu huko Halmashauri, utendaji wa mtaa.
Kama una shida ya kazi na huko utumishi zinatangazwa kazi si uomba kama wanavyofanya wenzio.. Au unataka shortcut mkuu? Basi tafuta connection Ila ukweli Ajira nyingi Sasa zinapitia huko. Labda ujaribu huko Halmashauri, utendaji wa mtaa.
schizoid-man JF-Expert Member Joined Mar 17, 2014 Posts 402 Reaction score 389 Jun 3, 2022 #6 BoT, Mahakama