Ajira burka estate

mbisere

Member
Joined
Jun 12, 2012
Posts
12
Reaction score
2
wanajamvi napenda kuwajuza kuwa kuna nafasi za kupalilia kahawa katika shamba la kahawa la burka estate lililopo jijini arusha kama unaelekea uwanja wa ndege kisongo.kwa ambaye yupo teari nenda moja kwa moja ofsini kwao na kazi inaanza jumatatu . HAKUNA KIWANGO CHA ELIMU WALA REFEREE,.
 
Ajira ya ukweli hii.....nimeikubali!
 
Anza wewe. Payment tu, haitoshi kununua hata internet bundle! Right advert on the wrong media.
 
Anza wewe. Payment tu, haitoshi kununua hata internet bundle! Right advert on the wrong media.

Kama wewe unaidharau kuna wengine wanaithamini, acha kuwavunja watu moyo. Taarifa kama hii ni muhimu sana coz kila siku watu wanahangaika kutafuta vibarua ili kupta mahitaji yao ya kila siku, tunapopata taarifa hizi hata km mimi sitaenda kuna mtu ambaye atanufaika nayo........................ Ebu naomba tuwe wastarabu ndugu zangu kujenga nchi si kazi rahisi
Kila mmoja afanye kwa sehemu yake na hakuna haja ya kumdharau mtu wengine, tuthaminiane
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…