wanajamvi napenda kuwajuza kuwa kuna nafasi za kupalilia kahawa katika shamba la kahawa la burka estate lililopo jijini arusha kama unaelekea uwanja wa ndege kisongo.kwa ambaye yupo teari nenda moja kwa moja ofsini kwao na kazi inaanza jumatatu . HAKUNA KIWANGO CHA ELIMU WALA REFEREE,.