Ajira EAC ni tatizo kubwa, Watanzania 30,000 wajitokeza kufuata nafasi 400 TRA

MK254

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2013
Posts
32,408
Reaction score
50,809
Viongozi nchi zetu hizi wanafaa walione hili na kuja na sera kwa kasi za kubuni ajira, viwanda vijengwe kwa kasi maana hii ni bomu ya muda tu, yaani vijana 30,000 Tanzania walisukumana kwa vifua kufuata nafasi 400.

Hili tatizo lipo hata Kenya, hususan wakati wa kusaili jeshini.

TRA.jpg

Baadhi ya Wataalam mbalimbali wakihangaika kutaka kusoma majina yao kabla ya kuanza kufanya usaili wa TRA jijini Dar es Salaam.

Waziri asikitishwa usaili wa TRA | East Africa Television
 
Kwani hamna emails au barua watu kutuma maombi wakachujwa? Ama hawakuweka criteria?

Sent using Jamii Forums mobile app
Waliomba hizo kazi walikuwa elfu 59450 na walioitwa ni elfu 29130 hivi Dsm pekee wameitwa elfu 4. Na elfu 30 hawakuitwa,ingekuwaje kama wangeitwa . Hakika hili ni BOMU LINAFUKA MOSHI. Isijekuwa ya yule kijana graduate aitwae ABDOULAZIZ hapo nchini Tunisia aliesumbuka kupata ajira ikambidi ALIAMUSHE DUDE hapo alikufa lakini ujumbe wake ulifika nchi ikawaka. Hapa serikali inabidi ije na mkakati madhubuti. Refers the rise of ARAB SPRING!

Nina uhakika kuna tatizo nchi zilizoendelea unaandika cover leter na CV na kuambatanisha vyeti na kupunguzwa lundo vitu kama CV na cover letter huangaliwa na watu Huchujwa kwa vitu kama spelling errors e.t.c. it is unfair n chaos kuingiza watu gharama kuja kuangalia majina kama wamepita. Kwa maoni yangu, usaili wa kazi 400 haupaswi kuitwa watu zaidi ya 1200. Unless uniambie kila aliyeomba ana first class ama CPA kitu ambacho hakiwezekani.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Viongozi nchi zetu hizi wanafaa walione hili na kuja na sera kwa kasi za kubuni ajira, viwanda vijengwe kwa kasi maana hii ni bomu ya muda tu, yaani vijana 30,000 Tanzania walisukumana kwa vifua kufuata nafasi 400.

Hili tatizo lipo hata Kenya, hususan wakati wa kusaili jeshini.

TRA.jpg

Baadhi ya Wataalam mbalimbali wakihangaika kutaka kusoma majina yao kabla ya kuanza kufanya usaili wa TRA jijini Dar es Salaam.

Waziri asikitishwa usaili wa TRA | East Africa Television

Viongozi nchi zetu hizi wanafaa walione hili na kuja na sera kwa kasi za kubuni ajira, viwanda vijengwe kwa kasi maana hii ni bomu ya muda tu, yaani vijana 30,000 Tanzania walisukumana kwa vifua kufuata nafasi 400.

Hili tatizo lipo hata Kenya, hususan wakati wa kusaili jeshini.

TRA.jpg

Baadhi ya Wataalam mbalimbali wakihangaika kutaka kusoma majina yao kabla ya kuanza kufanya usaili wa TRA jijini Dar es Salaam.

Waziri asikitishwa usaili wa TRA | East Africa Television

Kabla huja kwenda mojakwamoja kwenye suala la uhaba wa Ajira
kwanza angalia Aina hii ya Ajira
TRA
Utakuta wengi hapo wamevutiwa na TRA nasio vinginevyo
na katika wingi huo wamo walio na Ajira zingine
lakini kwa kuwa kasikia TRA basi kaona ajitupe huko
 
Aliyesema Tatizo la ajira kwa vijana ni Bomu linalosubiri kulipuka hakukosea bali hakua na mbinu za kulinasua lisilipuke mpaka sasa
 
Mbaya pia na serikali zetu kama hazijatambua mchango wa ujasiriamali na hasa hapa kwetu Tz , maana informal sector inakutana na changamoto za kila aina kuanzia kodi,leseni mbali mbali,pango pia kama tu hakuna mipango upande huo wa ujasiriamali kutoka serikalini

Pia hata mitaala yetu mashuleni/vyuoni bado ni ile 'white colour job'

Pia mind set zetu tunahisi vitu vingi tutafanyiwa hasa na serikali kumbe maisha yetu yapo mikononi mwetu

Kama jamii inabidi hasa kwa vijana wetu kufundishwa namna ya 'kujimudu' pindi njia zikiwa zimefungwa kwa wenzetu wana hizi program za 'self help'

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Viongozi nchi zetu hizi wanafaa walione hili na kuja na sera kwa kasi za kubuni ajira, viwanda vijengwe kwa kasi maana hii ni bomu ya muda tu, yaani vijana 30,000 Tanzania walisukumana kwa vifua kufuata nafasi 400.

Hili tatizo lipo hata Kenya, hususan wakati wa kusaili jeshini.

TRA.jpg

Baadhi ya Wataalam mbalimbali wakihangaika kutaka kusoma majina yao kabla ya kuanza kufanya usaili wa TRA jijini Dar es Salaam.

Waziri asikitishwa usaili wa TRA | East Africa Television
Viwanda ni kuwageuza watu CHEAP LABOUR tu bila mikataba yoyote. The ONLY SOLUTION, IS WE NEED TO CREATE OWN SILLICON VALLEY. Period
 
Kabla huja kwenda mojakwamoja kwenye suala la uhaba wa Ajira
kwanza angalia Aina hii ya Ajira
TRA
Utakuta wengi hapo wamevutiwa na TRA nasio vinginevyo
na katika wingi huo wamo walio na Ajira zingine
lakini kwa kuwa kasikia TRA basi kaona ajitupe huko
Tatizo la ajira linakuwa kubwa kila siku wala sababu haiwezi kuwa TRA.
- Tangu 2015 mwajiri mkubwa yaani Serikali Haijaajiri SEKTA YA AFYA wala SEKTA YA ELIMU na wote hao mpaka leo Wako mitaani, tatizo la ajira nchi hii ni kubwa kuliko kawaida
 
Viwanda ni kuwageuza watu CHEAP LABOUR tu bila mikataba yoyote. The ONLY SOLUTION, IS WE NEED TO CREATE OWN SILLICON VALLEY. Period

Silcon Valley utaajiri watu wangapi, maana hata ya Marekani sio kwamba imeajiri watu wengi kihivyo. Viwanda ndio njia ya kutengeneza ajira, sema pia vijana wengi wamekaa wakisubiri kuajiliwa badala ya wao kuwa wabunifu. Wengi hawaamini kwamba anaweza kuchangamkia ujasiriamali na akatoka, lazima akaajiriwe sehemu atavaa tai kuanzia asubuhi hadi jioni.
 
Viongozi nchi zetu hizi wanafaa walione hili na kuja na sera kwa kasi za kubuni ajira, viwanda vijengwe kwa kasi maana hii ni bomu ya muda tu, yaani vijana 30,000 Tanzania walisukumana kwa vifua kufuata nafasi 400.

Hili tatizo lipo hata Kenya, hususan wakati wa kusaili jeshini.

TRA.jpg

Baadhi ya Wataalam mbalimbali wakihangaika kutaka kusoma majina yao kabla ya kuanza kufanya usaili wa TRA jijini Dar es Salaam.

Waziri asikitishwa usaili wa TRA | East Africa Television

Swali chokonozi.
Hivi unahisi kuimarishwa kwa soko la pamoja kutaleta ahueni au ndo kutazidisha tatizo?
One wise man brought forth the question: does bringing two poor people together make them rich?
 
Viongozi nchi zetu hizi wanafaa walione hili na kuja na sera kwa kasi za kubuni ajira, viwanda vijengwe kwa kasi maana hii ni bomu ya muda tu, yaani vijana 30,000 Tanzania walisukumana kwa vifua kufuata nafasi 400.

Hili tatizo lipo hata Kenya, hususan wakati wa kusaili jeshini.

TRA.jpg

Baadhi ya Wataalam mbalimbali wakihangaika kutaka kusoma majina yao kabla ya kuanza kufanya usaili wa TRA jijini Dar es Salaam.

Waziri asikitishwa usaili wa TRA | East Africa Television

Kaka hapo kuna wengi wana kazi zao isipokuwa wanataka kuingia kwenye hiyo taasisi ya Kodi
 
Back
Top Bottom