Waliomba hizo kazi walikuwa elfu 59450 na walioitwa ni elfu 29130 hivi Dsm pekee wameitwa elfu 4. Na elfu 30 hawakuitwa,ingekuwaje kama wangeitwa . Hakika hili ni BOMU LINAFUKA MOSHI. Isijekuwa ya yule kijana graduate aitwae ABDOULAZIZ hapo nchini Tunisia aliesumbuka kupata ajira ikambidi ALIAMUSHE DUDE hapo alikufa lakini ujumbe wake ulifika nchi ikawaka. Hapa serikali inabidi ije na mkakati madhubuti. Refers the rise of ARAB SPRING!Kwani hamna emails au barua watu kutuma maombi wakachujwa? Ama hawakuweka criteria?
Sent using Jamii Forums mobile app
Viongozi nchi zetu hizi wanafaa walione hili na kuja na sera kwa kasi za kubuni ajira, viwanda vijengwe kwa kasi maana hii ni bomu ya muda tu, yaani vijana 30,000 Tanzania walisukumana kwa vifua kufuata nafasi 400.
Hili tatizo lipo hata Kenya, hususan wakati wa kusaili jeshini.
Baadhi ya Wataalam mbalimbali wakihangaika kutaka kusoma majina yao kabla ya kuanza kufanya usaili wa TRA jijini Dar es Salaam.
Waziri asikitishwa usaili wa TRA | East Africa Television
Kwani hamna emails au barua watu kutuma maombi wakachujwa? Ama hawakuweka criteria?
Sent using Jamii Forums mobile app
Nina uhakika kuna tatizo nchi zilizoendelea unaandika cover leter na CV na kuambatanisha vyeti na kupunguzwa lundo vitu kama CV na cover letter huangaliwa na watu Huchujwa kwa vitu kama spelling errors e.t.c. it is unfair n chaos kuingiza watu gharama kuja kuangalia majina kama wamepita. Kwa maoni yangu, usaili wa kazi 400 haupaswi kuitwa watu zaidi ya 1200. Unless uniambie kila aliyeomba ana first class ama CPA kitu ambacho hakiwezekani.Waliomba hizo kazi walikuwa elfu 59450 na walioitwa ni elfu 29130 hivi Dsm pekee wameitwa elfu 4. Na elfu 30 hawakuitwa,ingekuwaje kama wangeitwa . Hakika hili ni BOMU LINAFUKA MOSHI. Isijekuwa ya yule kijana graduate aitwae ABDOULAZIZ hapo nchini Tunisia aliesumbuka kupata ajira ikambidi ALIAMUSHE DUDE hapo alikufa lakini ujumbe wake ulifika nchi ikawaka. Hapa serikali inabidi ije na mkakati madhubuti. Refers the rise of ARAB SPRING!
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Viongozi nchi zetu hizi wanafaa walione hili na kuja na sera kwa kasi za kubuni ajira, viwanda vijengwe kwa kasi maana hii ni bomu ya muda tu, yaani vijana 30,000 Tanzania walisukumana kwa vifua kufuata nafasi 400.
Hili tatizo lipo hata Kenya, hususan wakati wa kusaili jeshini.
Baadhi ya Wataalam mbalimbali wakihangaika kutaka kusoma majina yao kabla ya kuanza kufanya usaili wa TRA jijini Dar es Salaam.
Waziri asikitishwa usaili wa TRA | East Africa Television
Viongozi nchi zetu hizi wanafaa walione hili na kuja na sera kwa kasi za kubuni ajira, viwanda vijengwe kwa kasi maana hii ni bomu ya muda tu, yaani vijana 30,000 Tanzania walisukumana kwa vifua kufuata nafasi 400.
Hili tatizo lipo hata Kenya, hususan wakati wa kusaili jeshini.
Baadhi ya Wataalam mbalimbali wakihangaika kutaka kusoma majina yao kabla ya kuanza kufanya usaili wa TRA jijini Dar es Salaam.
Waziri asikitishwa usaili wa TRA | East Africa Television
Viwanda ni kuwageuza watu CHEAP LABOUR tu bila mikataba yoyote. The ONLY SOLUTION, IS WE NEED TO CREATE OWN SILLICON VALLEY. PeriodViongozi nchi zetu hizi wanafaa walione hili na kuja na sera kwa kasi za kubuni ajira, viwanda vijengwe kwa kasi maana hii ni bomu ya muda tu, yaani vijana 30,000 Tanzania walisukumana kwa vifua kufuata nafasi 400.
Hili tatizo lipo hata Kenya, hususan wakati wa kusaili jeshini.
Baadhi ya Wataalam mbalimbali wakihangaika kutaka kusoma majina yao kabla ya kuanza kufanya usaili wa TRA jijini Dar es Salaam.
Waziri asikitishwa usaili wa TRA | East Africa Television
Tatizo la ajira linakuwa kubwa kila siku wala sababu haiwezi kuwa TRA.Kabla huja kwenda mojakwamoja kwenye suala la uhaba wa Ajira
kwanza angalia Aina hii ya Ajira
TRA
Utakuta wengi hapo wamevutiwa na TRA nasio vinginevyo
na katika wingi huo wamo walio na Ajira zingine
lakini kwa kuwa kasikia TRA basi kaona ajitupe huko
Viwanda ni kuwageuza watu CHEAP LABOUR tu bila mikataba yoyote. The ONLY SOLUTION, IS WE NEED TO CREATE OWN SILLICON VALLEY. Period
Mishe zingine zipi?Ubwegenazi mkubwa sana huo, badala ya kutafuta mishe zingine unang'ang'ana na kuomba ajira za watu maelfu.
Ngw'ana Kabula
Swali chokonozi.Viongozi nchi zetu hizi wanafaa walione hili na kuja na sera kwa kasi za kubuni ajira, viwanda vijengwe kwa kasi maana hii ni bomu ya muda tu, yaani vijana 30,000 Tanzania walisukumana kwa vifua kufuata nafasi 400.