Ajira jeshi la polisi Tanzania

Hivi hii kupitia JKT ni wote wa mujibu na kujitolea ama kujitolea pekee!?
 
Sio kweli......nna wadau wengi tu Baada ya kumaliza chuo wameenda upolisi.....magereza Kwa kutumia cheti Cha mujibu

Labda ugumu ni kwenda jwtz Kwa chet Cha mujibu

Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
Hapo baada ya kuomba kuna usaili, vipi usaili wao sio kisanga sana kupita!
 
Pale mwanzoni na mwishoni mwa tangazo sijaona neno "IMEZUILIWA". Matangazo yote ya kijeshi huwa yana kawaida ya kuanza na neno hilo. I
 
Nina miaka 21 tu. Pale kwenye Leaving Certificate hatukupewa shule labda niweke cheti cha form four
Nenda shuleni uliko malizia omba wakuandikie barua ya utambulisho wakugongee mhuri.ambatanisha na document zako.usipuuze dogo utakuja kunishukiru baadae ninao ushuhuda.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…