Omba upolisi kwa cheti cha form four,majibu yakirudi andika barua ya kusitisha masomo,then uende kozi,ukimaliza kozi ya polisi unarudi kuendelea na masomo ya degree.Nina miaka 21. Ah chuo ndugu hakuelewekagi kama vipi nijaribu tu bahati ikitiki itapendeza.
Omba kijana,mambo mengine utajua mbele ya safari,unapoanza maisha unatakiwa kuwa na jembe alafu kisha unalitumia jembe hilo kutengeneza njia.Hapo baada ya kuomba kuna usaili, vipi usaili wao sio kisanga sana kupita!
Endelea kuwadanganya wenzio wapoteze muda wao na pesa za maombi.Sio kweli......nna wadau wengi tu Baada ya kumaliza chuo wameenda upolisi.....magereza Kwa kutumia cheti Cha mujibu
Labda ugumu ni kwenda jwtz Kwa chet Cha mujibu
Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
Uhamisho wa askari huwa ni PUBLIC. Niliwahi kuona neno hili kwenye waraka wao wa ndani, lakini ulikuwa umekamatwa na wajanja na kuwekwa kwenye mitandaoacha kukalili, hizo ni barua na oder ndani ya jeshi,sio za matangazo public
aha sawaUhamisho wa askari huwa ni PUBLIC. Niliwahi kuona neno hili kwenye waraka wao wa ndani, lakini ulikuwa umekamatwa na wajanja na kuwekwa kwenye mitandao
Hakuna ugumu kwenda Jwtz kwa mujibu .Sio kweli......nna wadau wengi tu Baada ya kumaliza chuo wameenda upolisi.....magereza Kwa kutumia cheti Cha mujibu
Labda ugumu ni kwenda jwtz Kwa chet Cha mujibu
Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
Wewe hujui kitu. Ni mfuko.Endelea kuwadanganya wenzio wapoteze muda wao na pesa za maombi.
Una elimu Gani ...... kuhusu haya mamboEndelea kuwadanganya wenzio wapoteze muda wao na pesa za maombi.
Huyu kenge .... haelewi afu anabisha hajui kuwa Kuna skills flani zinahitajika kwenye hivi vyombo ..vya ulinzi ambazo zinaweza kupatikana Kwa watu wa mujibu tu .......other than wale wakujitoleaWewe hujui kitu. Ni mfuko.
Mimi niliajiriwa kwenye chombo kimoja cha serikali 2015 kwa kutumia cheti cha Mujibu wa Sheria.
Mkiipewa cheti cha awali hadhi yenu ni sawa bila kujali muda gani ulikurumikia
Saili nyingi tu wapo wa kujitolea wanapigwa chini na kuchukuliwa wa Mujibu.
Ahaa hili la jwtz sina uzoefu nalo mzeeHakuna ugumu kwenda Jwtz kwa mujibu .
Wote mnawekwa sahani moja iwe Mujibu au kujitolea. Sema JWTZ hawataki vijana waliokaa muda mwingi home baada ya JKT.
Ukitaka kwenda Jwtz inabidi uingie kabla hujaenda chuo