Denice Maxwell
New Member
- May 8, 2024
- 3
- 4
Yaani unakuta kazi inataka Degree ya HRM unafika na cheti chako cha Degree na Matokeo yake, Watumishi wa Secretariate wa Ajira wanakuzuia kufanya usaili eti mpaka ulete vyeti vyote vya ngazi ya Diploma na Certifcate.
Sasa pia inapotokea labda umewapa cha Diploma na hivyo vingine vya level ya chini hauna bado wanakufukuza wamekuwa miungu watu. Hii sio sawa kabisa kama kazi ni ya degree watu waruhusiwe kufanya usaili jamani mnatuumiza vichwa sana.
Yaani hata vyeti vyenye vinatkiwa kwenye kazi unakuwa navyo ukikosa hivo vya level ya chini wanakufukuza na matusi juu sio sawa.