realMamy
JF-Expert Member
- Apr 28, 2024
- 3,925
- 8,853
Mimi natumia Linkeld in nahitajiHabari Wakuu.
Kuna mchongo hapa nawalete. Nahitaji mtu Anayeweza kutumia Linkedin na Indeed a apply Virtual Jobs nchini Canada au USA.
Tukikubaliana nitakutumia CV, wewe kazi yako ni Ku draft Cover Letter, kufungua account kwenye mtandao hii miwili na Ku apply hizo kazi za Virtual based na CV nitayokupa.
Malipo tutakubaliana kabla kazi haijaanza.
Kazi ni lazima ziwe Virtual.
Kama kuna mtu yupo interested share details hapa au PM.