sehemu nyingi za serikali hizi huwa wanazikataa unless wawe wanihaji mtu haraka ndio wanakupa ajira ila wanakusisitiza ufuatilie mapema iwezekano ..Washika dau naomba kupata jibu na ufafanuzi kama serikali inaajiri kwa kutumia partial academic transcript?
Vyeti vinachelewa na full transcript je? Sasa hivi ni ngumu sana kupata kazi bila transcript mwambieni ukweli mwenzenu ili ajiandae.mpaka leo mimi niko kazini na ninatumia hizohizo, wengi ndo wanazotumia maana vyeti vinachelewa sana