Ajira kwa partial academic transcript

Ajira kwa partial academic transcript

BORNCV

JF-Expert Member
Joined
Oct 11, 2011
Posts
242
Reaction score
46
Washika dau naomba kupata jibu na ufafanuzi kama serikali inaajiri kwa kutumia partial academic transcript?
 
Washika dau naomba kupata jibu na ufafanuzi kama serikali inaajiri kwa kutumia partial academic transcript?
sehemu nyingi za serikali hizi huwa wanazikataa unless wawe wanihaji mtu haraka ndio wanakupa ajira ila wanakusisitiza ufuatilie mapema iwezekano ..
 
mpaka leo mimi niko kazini na ninatumia hizohizo, wengi ndo wanazotumia maana vyeti vinachelewa sana
 
Usi hofu wapo watu wapo mzigoni na result za semister tano,bongo sasa hv ni uwe una mjua nani na nani ana mjua yupi
 
Mmh mimi nimewahi kukosabahati ya kuajiriwa serikalini kwa kigezo kuwa sikuwa na cheti cha kumaliza chuo.. Km unaweza kuvipata ul be on the safe side coz Ushindan ni mkubwa mno these days
 
mpaka leo mimi niko kazini na ninatumia hizohizo, wengi ndo wanazotumia maana vyeti vinachelewa sana
Vyeti vinachelewa na full transcript je? Sasa hivi ni ngumu sana kupata kazi bila transcript mwambieni ukweli mwenzenu ili ajiandae.
 
Back
Top Bottom