Poleni sana ndg zangu mliokosa ajira,cha kushangaza hata waliopata mpaka sasa hawajalipwa mishahara yao ya mwezi April na pesa za nauli na kujikimu kwa baadhi ya Halmashauri.
So ajira yenu kwa sasa bado ni tete haieleweki
USHAURI WANGU:
Tafuteni shule za binafsi mpige kazi kwa muda kabla mambo hayajakaa sawa..