ajira kwa walimu awamu ya pili 2013/2014 ni lini

ajira kwa walimu awamu ya pili 2013/2014 ni lini

NUUMA BAKUNYA

Member
Joined
Feb 19, 2013
Posts
23
Reaction score
1
naomba munijuze mulioko dar au dodoma tamisemi watatoa tamko lini kwa walio kiss ajira au ndo ivyo amna kabisa
 
Poleni sana ndg zangu mliokosa ajira,cha kushangaza hata waliopata mpaka sasa hawajalipwa mishahara yao ya mwezi April na pesa za nauli na kujikimu kwa baadhi ya Halmashauri.
So ajira yenu kwa sasa bado ni tete haieleweki

USHAURI WANGU:
Tafuteni shule za binafsi mpige kazi kwa muda kabla mambo hayajakaa sawa..
 
Back
Top Bottom