Ajira kwa walimu tarajari 2013.

Ajira kwa walimu tarajari 2013.

SESEKO

Member
Joined
Aug 4, 2013
Posts
88
Reaction score
4
KWA TAARIFA ZILIZO JIKONI KUTOKA MoEVT ZINASEMA MWISHONI MWA MWEZI HUU WA 2 WATATOA AJIRA KWA WALIMU WAPYA KWA MASHARTI YAFUATAYO:
1.KURIPOTI KITUONI KWA WAKATI ULIOPANGWA NA KINYIME CHAKE HAKUTOKUWA NA LAWAMA.
2.HAKUTOKUWA NA UHAMISHO KUTOKA SEHEMU MOJA UTAKACHOPANGIWA KWENDA KINGINE.
WADOGO ZANGU NA WALIMU WATARAJIWA,NAWATAKIA UFANISI NA UTEKELEZAJI ULIOTUKUKA WA BRN POLICY NA KARIBUNI SANA KATIKA UWANJA HUU.
NAOMBA KUKABIDHI.
 
source? kama ni kweli rekebisha post yako au unamaanisha ajira kwa walimu 2013 kweli?
 
Ourtdated information, kajipange utupe za 2014.
 
KWA TAARIFA ZILIZO JIKONI KUTOKA MoEVT ZINASEMA MWISHONI MWA MWEZI HUU WA 2 WATATOA AJIRA KWA WALIMU WAPYA KWA MASHARTI YAFUATAYO:
1.KURIPOTI KITUONI KWA WAKATI ULIOPANGWA NA KINYIME CHAKE HAKUTOKUWA NA LAWAMA.
2.HAKUTOKUWA NA UHAMISHO KUTOKA SEHEMU MOJA UTAKACHOPANGIWA KWENDA KINGINE.
WADOGO ZANGU NA WALIMU WATARAJIWA,NAWATAKIA UFANISI NA UTEKELEZAJI ULIOTUKUKA WA BRN POLICY NA KARIBUNI SANA KATIKA UWANJA HUU.
NAOMBA KUKABIDHI.

Yaleyale ya utabiri wa akina Shekhe Yahya.mimi nshachoka kuzisikia hizi tetesi.Vyovyote watakavyoamua.
 
Hizi sio tetesi Ni utaratibu na taarifa ambazo kila zinapotoka post za ajira za ualimu basi huambatana na masharti hayo.

Kwa nini tunataka kupata attention za watu Kwa mambo serious kama hili halafu tuna post bila kufikiria?

Jukwaa hili limevurugwa nini? Mtoa mada next time nitakuombea BAN Kwa MODS
 
Mambo ya kupandsha BP ze2 muache jaman.Hamjui 2ko ka 2nasubr matokeo ya the last 6th semester au necta? improve ur post!
 
Back
Top Bottom