Cyprian shayo
Member
- Sep 25, 2011
- 17
- 0
pande zote za tz ukipokea cm ni swali kuhusu post za walimu wapya.jamani ukweli ni kwamba serikali imejipanga vyema kuwaburuza kwa kutumia ahadi batili hadi watakapo pitisha bajet nyingine.kuhusu bajeti ya mwaka jana muulize mbunge wako aliyeridhia fedha zako ziongezwe kwenye posho yake hadi kufikia laki 2 kwa siku