A Anonymous Guest Jun 3, 2026 #1 Ajira Mpya Afya Mkoa wa Kigoma Wilaya ya Uvinza 'intake' ya November 2024 hatujapewa barua za kuthibitishwa kazini, unaenda mwaka wa pili sasa huu.
Ajira Mpya Afya Mkoa wa Kigoma Wilaya ya Uvinza 'intake' ya November 2024 hatujapewa barua za kuthibitishwa kazini, unaenda mwaka wa pili sasa huu.
Ngorunde Platinum Member Joined Nov 17, 2006 Posts 5,883 Reaction score 12,570 Jun 3, 2026 #2 Poleni sana watumishi. Hakika JF ni sauti ya wanyongwa. Kila kona vilio kutoka watumishi wa hii serikali dhalimu. Na nyie mjitambue sasa, wakati nyie mnalia huku...mnayemwita mama yuko nje huko amebeba familia yake kwa kodi zenu.
Poleni sana watumishi. Hakika JF ni sauti ya wanyongwa. Kila kona vilio kutoka watumishi wa hii serikali dhalimu. Na nyie mjitambue sasa, wakati nyie mnalia huku...mnayemwita mama yuko nje huko amebeba familia yake kwa kodi zenu.