A Anonymous Guest Jul 29, 2026 #1 Tunashukuru baada ya kupaza sauti kuhusu changamoto ya kutolipwa fedha za kujikimu kwa sisi ajira mpya, hatimaye hilo limetimia na tumelipwa. Pia soma ~ Ajira mpya Afya Halmashauri ya Rombo hatujalipwa fedha za kujikimu
Tunashukuru baada ya kupaza sauti kuhusu changamoto ya kutolipwa fedha za kujikimu kwa sisi ajira mpya, hatimaye hilo limetimia na tumelipwa. Pia soma ~ Ajira mpya Afya Halmashauri ya Rombo hatujalipwa fedha za kujikimu