KERO Ajira Mpya Halmashauri ya Kiteto hatujalipwa pesa ya kujikimu ila michango ya Mwenge tunadaiwa

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua
A

Anonymous

Guest
Mimi ni mfanyakazi wa Halmashauri ya Wilaya ya Kiteto(ajira mpya).

Mpaka sasa tunadai hela zetu za kujikimu, ila tukifika kwa viongozi wetu wanatupa ahadi ambazo hazijawahi kutimia.

Tayari TAMISEMI walishatoa barua kuhusu Malipo ya ajira mpya kabla ya tarehe 15 June ila cha kushangaza mpaka sasa Halmashauri ya Kiteto hawajatulipa hela zetu zaidi wanatulazimisha tulipe hela za mwenge.
 
Wakabeni mwisho wa mwaka huu, kuna hela za kutosha hapo zinavuka mwaka kuazia kesho kutwa.
 
Mwenge huoo mwengee tunaukimbiza mbioo mbioo mpaka makao makuu mbio mbioo mbiio
1990 shule ya msingi

Lipeni tu nyie ni sehemu ya serekale!
 
Mimi ni mfanyakazi wa Halmashauri ya Wilaya ya Kiteto(ajira mpya).

Mpaka sasa tunadai hela zetu za kujikimu, ila tukifika kwa viongozi wetu wanatupa ahadi ambazo hazijawahi kutimia.

Tayari TAMISEMI walishatoa barua kuhusu Malipo ya ajira mpya kabla ya tarehe 15 June ila cha kushangaza mpaka sasa Halmashauri ya Kiteto hawajatulipa hela zetu zaidi wanatulazimisha tulipe hela za mwenge.

Duh, mnalipia kuona mwenge au nini?

Kwa nini mlipie mwenge? Si huwa wanatenga fedha kwa ajili ya kinachoitwa kukimbiza mwenge?

Hivi mwenge wa uhuru una faida gani hasa kwa wananchi wa kawaida? Naona ni hadaa tu na mradi wa upigaji.

Wanaita "mwenge wa uhuru" lakini wananchi hawana uhuru wa kuongea au kutoa maoni huru katika nchi yao-wakiongea na kupinga maovu (utekaji, rushwa) huishia kutekwa na kupotezwa.

Unachangia mwenge ili upate nini?
 
Back
Top Bottom