A
Wakabeni mwisho wa mwaka huu, kuna hela za kutosha hapo zinavuka mwaka kuazia kesho kutwa.Mimi ni mfanyakazi wa Halmashauri ya Wilaya ya Kiteto(ajira mpya).
Mpaka sasa tunadai hela zetu za kujikimu, ila tukifika kwa viongozi wetu wanatupa ahadi ambazo hazijawahi kutimia.
Tayari TAMISEMI walishatoa barua kuhusu Malipo ya ajira mpya kabla ya tarehe 15 June ila cha kushangaza mpaka sasa Halmashauri ya Kiteto hawajatulipa hela zetu zaidi wanatulazimisha tulipe hela za mwenge.
Mimi ni mfanyakazi wa Halmashauri ya Wilaya ya Kiteto(ajira mpya).