KERO Ajira mpya Halmashauri ya Wilaya ya Bahi hatujalipwa pesa ya kujikimu

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua
A

Anonymous

Guest
Ajira mpya Halmashauri ya Wilaya ya Bahi hatujalipwa pesa ya kujikimu sisi ni Watumishi wapywa wa Mwezi Wa Nane 2025.

Ukifatilia wanasema hawana vifungu vya Kulipa.

Tunateseka sana, tunaomba mtupaze sauti iwafikie.
 
Lakini mwisho wa mwezi mishahara zi mnapokea ??
Kama ni pesa ya kujikimu mtaliowa tu huko mbeleni
 
Back
Top Bottom