A Anonymous Guest Feb 14, 2026 #1 Ajira mpya Halmashauri ya Wilaya ya Bahi hatujalipwa pesa ya kujikimu sisi ni Watumishi wapywa wa Mwezi Wa Nane 2025. Ukifatilia wanasema hawana vifungu vya Kulipa. Tunateseka sana, tunaomba mtupaze sauti iwafikie.
Ajira mpya Halmashauri ya Wilaya ya Bahi hatujalipwa pesa ya kujikimu sisi ni Watumishi wapywa wa Mwezi Wa Nane 2025. Ukifatilia wanasema hawana vifungu vya Kulipa. Tunateseka sana, tunaomba mtupaze sauti iwafikie.
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 179,428 Reaction score 197,153 Feb 15, 2026 #2 Poleni sana, mambo ya serikali ndivyo yalivyo... Cc: Mahondaw
Mmea Jr JF-Expert Member Joined May 20, 2016 Posts 988 Reaction score 2,303 Feb 18, 2026 #3 Anonymous said: Ajira mpya Halmashauri ya Wilaya ya Bahi hatujalipwa pesa ya kujikimu sisi ni Watumishi wapywa wa Mwezi Wa Nane 2025. Ukifatilia wanasema hawana vifungu vya Kulipa. Tunateseka sana, tunaomba mtupaze sauti iwafikie. Click to expand... Lakini mwisho wa mwezi mishahara zi mnapokea ?? Kama ni pesa ya kujikimu mtaliowa tu huko mbeleni
Anonymous said: Ajira mpya Halmashauri ya Wilaya ya Bahi hatujalipwa pesa ya kujikimu sisi ni Watumishi wapywa wa Mwezi Wa Nane 2025. Ukifatilia wanasema hawana vifungu vya Kulipa. Tunateseka sana, tunaomba mtupaze sauti iwafikie. Click to expand... Lakini mwisho wa mwezi mishahara zi mnapokea ?? Kama ni pesa ya kujikimu mtaliowa tu huko mbeleni