A
Anonymous
Guest
Sisi ni ajira mpya Wilaya ya Mafia, Mkoa wa Pwani, kada ya afya ni miezi mitatu sasa hatujalipwa pesa zetu za kujikimu na tumefuatilia kwa viongozi wa wilaya lakini majibu hayaridhishi kabisa.
Cha ajabu, wenzetu wa Kada ya Elimu wamelipwa pesa zao muda mrefu lakini sisi tunapigwa kalenda tu.
Soma Pia: Kada ya Afya Ajira Mpya, Wilaya ya Rungwe hatujapata fedha za kujikimu na Viongozi wapo kimya
Tunaomba utusaidie kupaza sauti kwa viongozi wengine. Kuanzia Januari, wengine tulilipwa tarehe 19 Januari, mpaka leo.