Kama ilivyo kwisha tangazwa kuwa ajira zimepungunzwa 50%,watumishi watakaoajiliwa ni kama ifuatavyo:
Polisi(1,351),
Magereza(485),
Wizara ya Elimu(417),
Kilimo(294),Jamii,Jansia na Watoto(247),Maliasili(152)
na kurugenzi ya makosa ya jinai(111).....
mkuu tunashukuru kwa taarifa lakini hiyo ukiangali siyo 50% ni les than 10% naamini kuna data nyingine hujaweka kama wahasibu, afya na wengine.
kwa wale mnaotarajia ajira bora kupanga mipango mingine hii ni serikali ya porojo Kikwete aliahidi vyuo vichukue wanafunzi wa ualimu kwa wingi na serikali itawaajiri matokeo yake hata wachache waliopo hawana cha kufanya mtahani.