Ajira mpya kwa walimu wote

Ajira mpya kwa walimu wote

Raycriss

Member
Joined
Dec 24, 2012
Posts
9
Reaction score
0
Jamani naombeni mnijuze kuna mdau mmoja kaniambia eti ajira kwa walimu wote ni mwez wa nne? Je mna taarifa hiyo.
 
Hapana,ni mwezi wa nane..endelea kuwa mvumilivu.
 
Part tym had lini? Isitoshe kpnd hk cha januar shule znakua na program nying endelev tofaut na mwisho wa mwaka ambapo huwa n kukamilisha tu, hvyo mwl. Wa muda mfup huzingatiw sana.
 
Jamani naombeni mnijuze kuna mdau mmoja kaniambia eti ajira kwa walimu wote ni mwez wa nne? Je mna taarifa hiyo.

Walimu wote!??? ina maana na sie tulioko kwenye ajira tutaajiliwa tena!???
 
Walimu wote!??? ina maana na sie tulioko kwenye ajira tutaajiliwa tena!???

Watu wana hamu sana ajira za walimu huwa jan katikati na jan mwishoni ni kureport kazini. Baba V tunapata ajira upya bwana.
 
Ucjali,bado kitambo kidogo 2taajiliwa ila 2talipwa maneno (sound) badala ya pesa.
 
Back
Top Bottom