Ajira Mpya Manispaa ya Singida Mjini tumepokea fedha za kujikimu, asanteni kwa kutupambania

Ajira Mpya Manispaa ya Singida Mjini tumepokea fedha za kujikimu, asanteni kwa kutupambania

A

Anonymous

Guest
Serikali ya Mama Samia ni sikivu, hakikisheni mnatoa taarifa
 
Wiki chache zilizopita kupitia Fichua Uovu hapa JF tuliwasilisha hoja kuwa sisi Watumishi wa Ajira Mpya Kada ya Afya katika Manispaa ya Singida Mjini Mkoani Singida tiilipewa nusu ya malipo ya Fedha za Kujikimu.

Tunashukuru Uongozi umesikia kilio chetu na tumepokea hela ya kujikimu, asanteni JF kwa kutupambania.

Hoja ya awali ~ Ajira Mpya (Kada ya Afya) Singida Mjini na Mkalama tumepewa nusu Fedha ya Kujikimu, wanasema Serikali haina fedha
Nawezaje kuandika uzi kama Anonymous
 
Back
Top Bottom