RESOLVED Ajira Mpya Mkoa wa IRINGA Kada ya Afya tumelipwa Fedha za Kujikimu ila pungufu

RESOLVED Ajira Mpya Mkoa wa IRINGA Kada ya Afya tumelipwa Fedha za Kujikimu ila pungufu

  • Thread starter Thread starter Anonymous
  • Start date Start date
Imefanyiwa kazi au kupatiwa ufumbuzi na Mamlaka husika
A

Anonymous

Guest
Mimi ni Ajira Mpya Mkoa wa IRINGA sisi ajira mpya tumepata changamoto ya kulipwa pesa pungufu ya kujikimu ukilinganisha na halmashauri zingine mfano Afisa Muuguzi Msaidizi, halmashauri zingine wamelipwa 130*7=910 jumlisha nauli huku sisi tumelipwa 80*7=560 jumlisha nauli.

Hata hivyo malipo ya nauli hayajatimia ukilinganisha na ticket tulizoziwasilisha tukiuliza kwa katibu wa afya tunaambiwa tumelipwa kama watu wanafanya kazi maeneo mengine ilihali barua zetu zinaonekana Kituo cha kazi ni Halmashauri ya Wilaya ya Iringa?

Je, kuhusu hayo makato ya pesa zetu yatalipwa lini kwasababu pesa zetu hazijatimia.

Ni ajira za January mwaka huu Kada ni Afya.

Pia soma ~ Ajira Mpya Halmashauri ya Manispaa ya Iringa tunalia njaa, mzigo wa kujikimu tumeingizwa mjini
 
Back
Top Bottom