A
Kwani Nape yeye anasemaje labda!? Huyo mbunge wenu haramu! wa hapo!Ajira Mpya Mtama DC Mkoani Lindi bado hatujalipwa pesa za kujikimu na hatujui tunalipwa lini na hamna taarifa yoyote kuhusu hizo pesa tunalipwa lini.
Kwa kweli tunapata shida sana.
Naomba kuwasilisha hiyo kero yangu mkuu.
πππππ kwann mkuu wasilipwe?Ni raisi kwa Ngamia kupita Tundu la Sindano, kuliko wewe kulipwa hizo pesa za kujikimu.
Halmashauri 3 : 21-22.