M Mic209 New Member Joined Aug 20, 2026 Posts 2 Reaction score 0 Aug 21, 2026 #1 Ajira mpya katika kata ya Ualimu mwaka 2026 Mkoa wa Morogoro (Dc) hatujapewa pesa za kujikimu mpka sasa Na kila tukiuliza wanatupa majibu ya mkato Msaada katika tafadhari. Kwako Ofisi ya Tamisemi chini ya Ofisi ya Waziri Mkuu
Ajira mpya katika kata ya Ualimu mwaka 2026 Mkoa wa Morogoro (Dc) hatujapewa pesa za kujikimu mpka sasa Na kila tukiuliza wanatupa majibu ya mkato Msaada katika tafadhari. Kwako Ofisi ya Tamisemi chini ya Ofisi ya Waziri Mkuu
Kiparuanda JF-Expert Member Joined Jul 23, 2013 Posts 1,663 Reaction score 2,573 Aug 21, 2026 #2 Hiyo pesa ya kujikimu ni shingapi mkuu
RoDrick RaY JF-Expert Member Joined Aug 23, 2015 Posts 1,806 Reaction score 2,723 Aug 21, 2026 #3 Kwaiyo walio kuajiri wako jamii forum