KERO Ajira Mpya Ualimu Morogoro hatujapewa pesa za kujikimu hadi sasa

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua

Mic209

New Member
Joined
Aug 20, 2026
Posts
2
Reaction score
0
Ajira mpya katika kata ya Ualimu mwaka 2026 Mkoa wa Morogoro (Dc) hatujapewa pesa za kujikimu mpka sasa

Na kila tukiuliza wanatupa majibu ya mkato

Msaada katika tafadhari. Kwako Ofisi ya Tamisemi chini ya Ofisi ya Waziri Mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…