WALIMU Ajira za mwaka Jana (2025) mwanzoni na wa (2026) januari Bado HATUJAPEWA HELA yetu ya KUJIKIMU Na Idara husika hazisemi chochote wakati wenzetu halimashauri zingine wamepewa tayari.
Sisi Walimu (waajiriwa Wapya 2026) Katika Wilaya ya Mpwapwa Dodoma, tuli ripot Kazini Feb/2026, ila HATUJAPEWA HELA ya KUJIKIMU, Mamlaka ziko kimya mpaka saizi..Wakati kwenye Taratibu za Ajira za Uma(ikiwamo Ualimu) ni haki ya kisheria Kupata Hiyo PESA.
Hatujui kama Ndio tumedhurumiwa ama tutapewa Lini.
Mimi ni mwalimu (waajiriwa Wapya 2026) Katika Wilaya ya Mpwapwa Dodoma, tuli ripot Kazini Feb/2026, ila HATUJAPEWA HELA ya KUJIKIMU, Mamlaka ziko kimya mpaka sasa mwezi may unaisha.
Naelewa kwako Changamoto ya Ajira mpya tulioajiriwa January -February 2026 katika Halmashauri ya Mpwapwa, hatujapewa pesa yetu ya kujikimu na TUKIFATILIA kwenye group hatupewi majibu mazuri au kutokujibuwa kabisa na kinachofatia ni kupigiwa simu za kupewa vitisho.
Vitisho kama kuhamishiwa Hard to reach areas specifically sisi wa Kada za Afya au kutothibitishwa kazini, pamoja na kunyimwa chance za kujiendeleza kimasimo huko mbeleni.
Kwa sasa Viongozi hawajibu jumbe zozote zinazohusu pesa ya kujikimu ukizingatia Mwaka wa Fedha unaenda kuisha by June 2026.
Please tusaidie kupaza sauti kwani maelekezo kutoka TAMISEMI ilikuwa ni by Juni 15 Halmashauri zote ziwe zimelipa hizo pesa kwa wahusika.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.