Sisi Walimu (waajiriwa Wapya 2026) Katika Wilaya ya Mpwapwa Dodoma, tuli ripot Kazini Feb/2026, ila HATUJAPEWA HELA ya KUJIKIMU, Mamlaka ziko kimya mpaka saizi..Wakati kwenye Taratibu za Ajira za Uma(ikiwamo Ualimu) ni haki ya kisheria Kupata Hiyo PESA.
Hatujui kama Ndio tumedhurumiwa ama tutapewa Lini.
Tunaomba msaada kutupazia sauti