KERO Ajira Mpya wa Mbeya Mjini wa 2025 na 2024 hatujalipwa stahiki zetu

KERO Ajira Mpya wa Mbeya Mjini wa 2025 na 2024 hatujalipwa stahiki zetu

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua
A

Anonymous

Guest
Sisi Walimu wa Ajira Mpya Mbeya Mjini hatujalipwa pesa yetu tangu Mwaka 2025, waliokuja wapya wa mwaka huu pia hawajalipwa wakati Halmashauri za pembeni wamelipwa muda tu.

Soma Pia:
 
Back
Top Bottom