A Anonymous Guest Apr 1, 2026 #1 Sisi Walimu wa Ajira Mpya Mbeya Mjini hatujalipwa pesa yetu tangu Mwaka 2025, waliokuja wapya wa mwaka huu pia hawajalipwa wakati Halmashauri za pembeni wamelipwa muda tu. Soma Pia:
Sisi Walimu wa Ajira Mpya Mbeya Mjini hatujalipwa pesa yetu tangu Mwaka 2025, waliokuja wapya wa mwaka huu pia hawajalipwa wakati Halmashauri za pembeni wamelipwa muda tu. Soma Pia:
The Burning Spear JF-Expert Member Joined Dec 23, 2011 Posts 9,205 Reaction score 22,219 Apr 1, 2026 #2 Oneni aibu